Sunday, June 10, 2012

Kama kijana wa kitanzania ambaye nimemaliza form six nina kibiliwa na changamoto nyingi sana za kimaisha,kutokana na mfumo we2 wa maisha na kisiasa ni vigumu sana kwa kija na aliyemaliza form six au form 4 kuweza kupata ajila namaanisha kuajiliwa na kuweza kijikimu kimaiha.Si rahisi kabisa kwa mwanafunzi kama mimi kuweza kuajiliwa katika kampuni au taasisi za watu binafsi au mashirika ya  kiserekali,inasikitisaha sana kuona mambo kama haya yako ktk nchi ye2,ni vigumu sana kupata ajira kama hauna m2 au ndugu anaye kufahamu.Lazima tujipange kiukweli la sivyo 2taendelea kuwa taifa la kesho na sio la leo.